Friday, November 15, 2013

SALMA JABU NISHA AFANIKIWA KUIRUDISHA PAGE YAKE YA FACEBOOK KUTOKA KWA HACKERS.

Muigizaji maarufu nchini Salma Jabu nisha amefanikiwa kuirudisha page yake ya facebook baada ya jana kuhakiwa(hacked) na mtu asiyejulikana na kuanza kupost picha chafu kwa lengo la kumchafua Nisha. Hata hivyo Nisha alipata msaada mapema jana hiyo hiyo na kuirudisha page yake mikononi mwake kabla fedhuli huyo hajaendelea kumchafua star huyo wa Swahiliwood. Page yenyewe ni hii hapa na unaweza ku-LIKE kama unapenda filamu za Nisha NISHA

Ushauri kwa mastaa ili page zenu zisihakiwe hovyo msifungue link za ajabu ajabu mnazotumiwa na watu wakimihamasisha au kumipa pressure mfungue link hizo. mFano baadhi ya hackers now wamekuja na gia ya kumwambia mtu au star kuwa kuna picha zake za uchi afungue link hiyo na ukifungue link hiyo inatafsiri email na paswed yako na wao haraka wanaingia kwenye page au akauntb yako na kubadilisha paswed haraka huku wewe ukibaki kusaga meno.

Nisha
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment