Friday, November 15, 2013

IRENE UWOYA APIMA NGOMA NA KUWEKA MAJIBU HADHARANI.

Star wa filamu Swahiliwood Irene Uwoya ameonyesha live majibu yake ya vipimo vya Ukimwi na kuonekana hana ugonjwa huo. Uwoya alionyesha majibu hayo kupitia mtandao mmoja wa kijamii huku mashabiki wake wakiwa na maoni tofauti kwa wengine kuamini majibu hayo ni ya uongo na wengine kumpa pongezi kwa kupima na kuweka majibu hadharani.


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment