Bado tunaendelea kufuatilia na Nisha akifanikiwa kuirudisha page yake kupitia wataalam wa IT basi tutakupa taarifa hapa hapa SWP ila kwasasa ujue kuwa kinachowekwa katika page ya muigizaji huyo sio yeye.
Friday, November 15, 2013
PAGE YA FACEBOOK YA ACTRESS SALMA JABU NISHA YAHAKIWA(HACKED) KWA HIYO KUWA MAKINI NA MATAPELI.
Page ya facebook ya muigizaji Salma Jabu Nisha imehakiwa(hacked) na matapeli au watu wanaotaka kumchafua na wameanza kuweka picha chafu na za kimahaba akiwa na Nay Wa Mitego. Nisha mwenyewe amezungumza na Swahiliworldplanet kwa masikitiko makubwa kwa wanao upload picha hizo hawamtendei haki kwani baadhi ya watu na mashabiki wake wengine wanadhani ni yeye kweli ila wale wenye upeo na mambo ya mitandao wameanza kuelewa kuwa sio yeye. Page yenyewe ni hii hapa NISHA
Bado tunaendelea kufuatilia na Nisha akifanikiwa kuirudisha page yake kupitia wataalam wa IT basi tutakupa taarifa hapa hapa SWP ila kwasasa ujue kuwa kinachowekwa katika page ya muigizaji huyo sio yeye.
Bado tunaendelea kufuatilia na Nisha akifanikiwa kuirudisha page yake kupitia wataalam wa IT basi tutakupa taarifa hapa hapa SWP ila kwasasa ujue kuwa kinachowekwa katika page ya muigizaji huyo sio yeye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment