Wednesday, October 16, 2013

NORA APATA MPENZI MPYA BAADA YA KUMWAGANA NA GEOFREY KUSILA.

Nuru Nassor(Nora) ambaye ni star wa siku nyingi wa filamu na maigizo nchini amepata mpenzi mpya baada ya kumwagana na Geofrey Kusila. Nora aliweka picha Instagram akiwa na jamaa huyo na pembeni kukiwa na mbwa na kuandika ".na mlivyosawigika kama huyu mbwa, mjipange nina hasira na nyinyi hadi Mungu anajua". Nora alipoulizwa na paparazi wa Gpl kuhusu mwanaume huyo alijibu "Mimi ni mwanamke hivyo kuwa na mpenzi ni lazima na huyo uliyemuona ni mwanaume, hivyo haina haja ya kujibu na kuhusu anaitwa nani hiyo ni siri yangu, siwezi kuweka wazi jina lake kwa sasa"

Nora na jamaa huyo
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment