Thursday, January 30, 2014

BEHIND THE SCENES: AMANDA POSHY KATIKA FILAMU MPYA YA JANI CHANGA.

Muigizaji wa filamu maarufu nchini Amanda Poshy ataonekana katika filamu mpya ya Jani Changa ambayo alikuwa anashuti mwezi January mwaka huu(2014). Angalia behind the scenes ya filamu hiyo ambayo imehusisha mazingira ya kijijini pia.


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment