PENINA, MROPE ZAKAAZ, KELVINA JOHN, ELIZA WAJA NA FILAMU MPYA YA MACHATA (PHOTOS)
Filamu inaitwa "Machata" waigizaji ni Mrope Zakaaz, Kelvina John, Penina na Eliza. Filamu hii imetengenezwa Dodoma,
inahusisha maisha ya vijana wa mtaani wanaochafua nyumba za watu kwa
kuchora makatuni na maneno ya matusi na wanakwenda kuchora nyumba
ambayo ilikuwa inalindwa kitamaduni na wanafungua chupa iliyopo eneo
hilo na kufungua mzimu ambao unawasumbua. Mrope ambaye ndiye rroducer wa filamu amesema lengo la kuandika movie hii ni kuwaonya vijana wenye tabia kama hii. Angalia picha za behind the scenes................ Mrope Zakaaz
Penina na Kelvina John
coming soon...........
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
No comments:
Post a Comment