Pages

Monday, September 16, 2013

MTUNISY NA JACKLINE WOLPER WAJA NA FILAMU MPYA YA JIKE DUME.

Waigizaji maarufu Swahiliwood Jackline Wolper na Nice Mohamed(Mtunisy) wanakuja pamoja na filamu ya Jike Dume ambayo wanaishuti kwasasa. Katika filamu hiyo Wolper anaonekana kucheza kama mwanamichezo huku Mtunisy akionekana kucheza kama kocha. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Mtunisy alishare picha za uchukuaji wa filamu hiyo na kuandika "Tukiwa location tukishuti film ya jike dume Wolper akiwa captain Wa timu nami ndio Maximo wao film ya JIKE DUME itatisha sana kwakweli na hii itakuwa baada ya kutoka film ya Who's Bad itafuata hii Ya JIKE DUME". 

Huko nyuma waigizaji hao walishacheza pamoja katika filamu ya Clinic Love. 

 Angalia baadhi ya picha za Jike Dume hapo chini.....


Mtunisy, cameraman Kabuti Onyango na Wolper
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment