Pages

Friday, September 6, 2013

KING MAJUTO, ODAMA NA FRANK WAJA NA FILAMU YA ZEBRA.

Mastaa wakubwa Swahiliwood King Majuto, Jenifer Kyaka(Odama) na Mohamed Mwikongi(Frank) wamekuja na filamu mpya ya Zebra ambayo itaingia sokoni muda sio mrefu hivyo kaa mkao wa kula ili ujionee walichofanya waigizaji hao.

Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new

1 comment: