|
Tanzanite |
Wasanii maarufu nchini H Baba na mkewe Frolah Mvungi wamefanikiwa kupata mtoto wa kike
jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya
Maria Stope iliyopo
Mwenge jijini Dar es Salaam.
Kama unakumbuka hapo awali H Baba alisema kama akifanikiwa kupata mtoto
wa kike au wa kiume basi atampa jina la 'Tanzanite' ambalo ni madini yanayopatikana Tanzania pekee duniani, hatimaye wanandoa hao wamefanikiwa
kumpata mtoto wa kike na kumpatia jina la Tanzanite.
H.Baba na Florah
Follow us on twitter
Swahili World Planet and Like our facebook pages
Swahili World Planet and
Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood new
No comments:
Post a Comment