Kauli hiyo ameitoa leo kwenye kipindi cha XXL baada ya kuulizwa na Bdozen na Adam kuwa anaamua nini na anajiskiaje pale kila atoapo wimbo.
unakuwa na matatizo,moja ya line Diamond amesema kuanzia sasa hivi hataki collabo na
msanii yeyote wa bomgo fleva isipokuwa kwa baadhi tu ya wasanii anaoheshimiana nao,kwani amegundua swala hilo ndilo linalosababisha matatizo kama yanayotokea kwa baadhi ya wasanii kutumia vibaya nafasi hiyo kwa kuzusha kuwa wameibiwa wimbo ama beat na yeye Diamond.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood new
No comments:
Post a Comment