|
Through facebook Mwakifwamba who is also the president of Tanzanian
Film Federation(TAFF) shared the photo below being with Van Vicker
|
Tanzanian Swahiliwood and Ghananian Ghollywood have united !, well, there is a new movie coming soon. A reliable source told
Swahiliworldplanet that the film Stars Ghananian popular actor Van Vicker who has also worked in many Nollywood movies and shooting has already started in Dar es salaam. Apart from Van Vicker, the film also stars Swahiliwood famous actors like Irene Paul, Hashim Kambi, Wellu Sengo and Slim Omar in the lead roles. It is produced by Hashim Kambi in collaboration with Proin Promotions which recently launched Foolish Age successfully at Mlimani City in Dar es salaam. The film is directed by Simon Mwakifwamba and is an English-Swahili language movie.
Wellu Sengo
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
Huyu Welu ni mwizi balaa
ReplyDeleteWAKAE CHONJO HUYU WELU NI MWIZI MPAKA MAHAKAMA ZINAMUOGOPA KWA KUWAOBIA WENZIE NI NO 1
ReplyDeleteWe Anonym hapo juu mbea ka nini looh mwache msichana wa watu ana kuja kwa kasi kwenye game n we love her. mdada kajaaliwa tako tako guu guu la bia kuliko hata Wema Sepetu. Wellu my advice don't dare to bleach your skin. U have natural beauty baby go goo girl waache wambea na gossip zao
ReplyDeleteNampenda sana Slim mkaka ni handsome kuliko Ray. Jamani Wellu kajaaliwa shape la ukweli mpaka kutishia uhai wa mashostito wenzake wa filamu wanaume wanafaidi nyiee
ReplyDeleteJB na Ray mmelala sana mpaka mzee kambi ndiyo anazitangaza filamu za kibongo nje baada ya Kanumba kufariki, mtaishia kufumaniwa tu badala ya kuangalia kutoka kimataifa sasa. Naskia Ray kimombo hakipandi kabisa afadhali hata Jb ndo maana wamebaki na swaga za kibongo pekee. Irene paul yuko poa
ReplyDeleteWelu hajaambiwa kwamba ni mbaya ila kaambiwa ni mwizi chacha hapo cha kumtetea ni kipi and wewe inaesema welu kamshinda Wema kwa kipi? Kwaza ni jamvi la wageni hawezi kufika mbali kwa sababu ya wizi hata hao wakina irene paul wasipoangalia watalizwa kila kitu mwizi sana bongo movie yote wanajua and next time dont talk nonses abt wema you full
ReplyDeleteShida ya umaarufu ndio hiyo kama unataka kuwa star you have to change your attitude mdada welu uzuri na wizi ni vitu 2 tofauti utajiharibia kila kiti cha fanya kazi na uache wizi. SAMIRA
ReplyDeleteHAHAHHHAAAHAAAAAHAAAAAAAAAA THIEF THIEF THIEF TUWAULIZE BONGO MOVIE WAJAMENI WELU MWIZI???????????????????????? KHADIJA K/KOO
ReplyDeleteIs that true?? Nitamuuliza kaka Ray. Halafu uliyesema Ray hajui kiingereza umeulizwa?? Ushamba tu
ReplyDeleteKawazidi uzuri ndiyo maana, Wellu piga kazi nafasi ya kushine kimataifa ndiyo hii bahati ya mtende kufanya movie na huyo mkaka wa Ghana, si angechukuliwa huyo Wema kutwaa kujichubua na mipicha ya hovyo mitandaoni, Muda wa Wema, Uwoya , Aunt unapita watoto wapya kama Wellu ndo tunawataka.
ReplyDeleteFor your information Wema anajitambua hachezi movie ili mradi movie eti kisa Van Vincker kaweza kumleta Omotola or Omosexy anauwezo wa kumwita any star from any wher Wema ana cash anajina kubwa huyo changu wako ni mwizi Thief Lady go to hell unaebisha.
ReplyDeleteAnonym hapo juu Ray hajui kutema mayai kama ni mtu wako si useme tuuu ili tukusaidie kumpeleka english course.
ReplyDeleteNaskia Chuchu na Johari kimenuka kisa Ray Kigosi tupeni data wadau
ReplyDeleteWema kabaki jina filamu hatuzioni na atapoteza jina pia soon sijui yule meneja wake anafanya kazi gani hatumuoni wema hata kwenye movies za kampuni yake. Wellu usilewe sifa sasa ktk mafanikio lazima ukutane na vizingiti njiani, Irene Paul nae kajikondesha sana kama kanywa chinese Slimming tea khaaa!
ReplyDeleteJudith kweli shoga yangu wamegombana ni makonde kwa kwenda mbele ray mtamu bibi ila chuchu kadundwa hadi kipapa kimebaki nje
ReplyDeletemnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wellu ni mzuri tako la kumwagaa, napenda filamu zake ila apungue kidogo
ReplyDeleteannon wa 17 september 8.42 am kula tano nimekupenda bureeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteJamani huyu Chuchu si ni mke wa mtu huyu bado agombea mabwana au anafuata nyayo za Uwoya kutaka kuharibu ndoa yake mwenyewe. Ray nae si tunasikia anatoka na mlokole Mainda !
ReplyDeleteMbona sionicoment za kujenga jamani? Naona kupondana na kujibu mapigo. tutaifikisha sanaa yetu mbali kwa style hiyo kweli?
ReplyDeleteYaaani nawashangaa wabongo, ndio maana nfagilia title za watu...
Deletemmesmesema wema wee sasa kaisha mnaanza hadi maandaunder ground kweli nabii hakubaliki kwao....!!
SHAME ON YOU HATERS....!!!
Nakubaliana na wewe Anonym hapo juu tuwapeni wasanii wetu moyo n a sio kuwaponda muda wote. am waitin to watch the muvi
ReplyDeleteI luv Slim Omar sana nipo tayari hata anipe mimba leo leo, sijui hata namna ya kumpata huyu mkaka he is so mwaaaa. Batuli anafaidi jamanii
ReplyDeleteKUMBE MNATAKA NAMBA NA NAFASI ZA WATU??? HAYA MAKUBWA.... UNAWAZAJE MWENZIO ANAFAIDIJE KAMA SIO NGONO TUU. MWENZIO YUKO KIKAZI ZAIDI SHAURI YAKO!!!!!
Delete