Pages

Wednesday, September 4, 2013

DIAMOND PLATINUMZ NI SUKARI YA WAREMBO: VJ PENNY

Peniel Mungilwa(Vj Penny) ambaye ni girlfriend wa mwanamuziki superstar afrika mashariki Diamond Platinumz amesema kuwa anajua mpenzi wake ni sukari ya warembo hivyo hashituki kwa lolote. Penny alitoa maneno hayo wiki iliyopita wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Diamond inayoitwa My Number one ambayo imetengenezwa S.Afrika kwa Tsh. milioni 48. Akichonga na GPL Penny alisema"Sishtuki na chochote katika video ile ya Baby wangu kwani natambua kuwa mpenzi wangu ni sukari ya warembo, ila namshauri atafute madansa wa kike wa hapa nchini afanye nao kazi kama wale Wasouth wanavyoonekana katika video yake mpya"

                                                Penny na Diamond
 Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment