Peniel Mungilwa(Vj Penny) ambaye ni girlfriend wa mwanamuziki superstar afrika mashariki Diamond Platinumz amesema kuwa anajua mpenzi wake ni sukari ya warembo hivyo hashituki kwa lolote. Penny alitoa maneno hayo wiki iliyopita wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Diamond inayoitwa My Number one ambayo imetengenezwa S.Afrika kwa Tsh. milioni 48. Akichonga na GPL Penny alisema"Sishtuki na chochote katika video ile ya Baby wangu kwani natambua kuwa
mpenzi wangu ni sukari ya warembo, ila namshauri atafute madansa wa kike
wa hapa nchini afanye nao kazi kama wale Wasouth wanavyoonekana katika
video yake mpya"
Penny na Diamond
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment