|
Chuchu Hans |
Kuna habari zimeanza kusambaa mitandaoni kuwa mastaa wa filamu nchini Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji mwenzao Vicent Kigosi(Ray). Inadaiwa kuwa Johari ndiye amemfumania Chuchu nyumbani kwa Ray maeneo ya Sinza, Dar es salaam na wawili hao kuanza kufumuana makonde na baadaye Ray kuwahi kuwaamulia kabla mambo hayajaharibika zaidi. Inadaiwa Johari na Ray ni wapenzi lakini kwa muda mrefu hawataki media zijue.
Mtandao huu umeshindwa kuwapata mastaa hao ili kujua yalio upande wao(mastaa hao) kuhusu issue hiyo hivyo bado tunawasaka wawili hao na tutakuletea updates na uhakika wa tukio hilo.
Johari
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
Kweli chuchu kafumaniwa na kala kipigo heavy upapa nje nje pale sinza kwa mama yake ray palikuwa uwanja wa maonyesho HAHAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteHii ni breaking news or!!!!!!! Chuchu you look pretty kumbe una roho mbaya wewe.
ReplyDeletePole Malaya chuchu kwa kipondo
ReplyDeleteMbulula Kama nyie ndio mnatia tasnia dosari mpaka serikali haiwapi msaada huyo ray ana nini? Stupid girls nyie and you johari Mackdonald alisema kwenye media ipo siku ukweli utaonekana before he die sasa we think mrudishe hela zake because this things vinavyokukuta it seems ni laana yake ya kumuibia. And you Chuchu what kind a woman are you? Ray he is like jalala uchafu wote upo kwake wake up you snitch don't share a man with your friends. Jamila
ReplyDelete