Chuchu Hans' beauty can't be hiden !. You look so beautiful Chuchu and we like what we see. It seems the actress is doing new movie with King Majuto and Single Mtambalike(Richie). Look photos below shared by Chuchu on her facebook..............
and expect new movie from the three film stars !
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood ne.
Huyu Chuchu kafumaniwa na Johari akiwa na ray chumbani kwake kapigwa hadi kavuliwa nguo akabaki mtupi kama alivyozaliwa kisha Johari akachukua kiwembe akamchana nacho issue imetokea alhamisi msichana malaya huyu mpaka aibu.
ReplyDeleteMAPOZI MENGI YA UONGO WAKATI UMEFUMANIWA NA UKADUNDWA NA JOHARI BWHAAAAAAAA BWAAAAAHAAAAAAAHAAAAAHAAAA KIPIGO CHA NGUVU NA KIPAPA TUKAKIONA
ReplyDeleteNilijua utani kumbe kweli niliyasikia leaders jana chuchu acha tabia mbaua Johari ni kama dada yako hukuona wanaume wengine? Halafu si umeolewa wewe? Na yule Liberty si ni boyfriend wako? Umekaa kama bibi bomba lione malaya mzee ww
ReplyDeletejohariiiiiii
ReplyDeleteHayo yote kaandika johari - ukae ukijua kuwa mwanaume yeyote ni kiti cha daladala akiondoka mwenzio na wewe kaa ilimradi ufike unakotaka kwenda. Kuhusu chuchu ni mke wa mtu - tunataka picha za harusi na huyo mume wake. Wewe johari kama unamtabiria au ndio unataka kumchana viwembe chuchu jaribu utaozea segerea - kwani chu ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake
ReplyDeleteWe mavi uliyeandika chuchu hajafumaniwa nenda sinza utajua ukweli wa mambo asingiziwe ana nini? Kama na wewe ni kahaba mwenzio tafakari mchukue hatua nataka tuone kama ataolewa wasiolewe wakina Mainda ataolewa yeye? Kama kweli mwanamke mwambie aoleweeeeeeeeeeeeeeeeeee bibu bomba huyoooooooo kazi kupora vya wenzie tu vyake alivyoviunda vipo wapi? Naitwa Samira au kubwa la maadui
ReplyDelete