Mmoja wa wasomaji wa mtandao huu na aliyejitambulisha kama shabiki mkubwa wa filamu za kibongo ametutumia picha hizi za muigizaji maarufu nchini Irene Uwoya ambazo zimepigwa katika mishe mishe za utengenezaji wa filamu yake mpya ya Omega Confusion ambayo inatarajiwa kutoka muda si mrefu. Msomaji huyo ameonekana kushangazwa na muonekano wa Irene Uwoya katika hizo picha akisema kuwa amepoteza mvuto wake wa zamani. " ulezi umempotezea Uwoya mvuto wake wa zamani jamanii !, hembu angalieni picha zake hizo" alisema mtuma picha huyo.
Picha zenyewe ni hizi hapa ziangalie halafu tuambie maoni yako....................
Like our facebook pages Swahili World Planet Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Na kweli kazeeka. Samira
ReplyDelete