Ray C ambaye ni mwanamuziki wa Bongofleva wa muda mrefu ameingia gym ili kupunguza mwili wake ulioongezeka na kuwa kibonge. Miezi ya karibuni mwanamuziki huyo alikuwa katika matibabu ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupona ametangaza kurudi tena katika game la muziki hivyo kuamua kupunguza uzito ili awe mwepesi kama zamani. Lakini gym na miwani ya urembo mazoezi yatakuwa serious kweli ! Angalia picha...............
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment