Actress maarufu Swahiliwood Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto. Tukio hilo lilitokea juzi katika ukumbi wa Club Billicanas wakati Wema Sepetu akitambulisha wasanii wapya wa Bongofleva. Habari ambazo bado sio rasmi ni kuwa huenda muigizaji huyo alikumbwa na tukio hilo hatari kutokana na issue za kimapenzi yaani kugombea mwanaume siku za nyuma au sasa. Tutakujuza zaidi kinachoendelea. Ugua pole Aunt. Angalia picha chini jinsi actress huyo alivyojeruhiwa.......
Mkono uliojeruhiwa kabla ya kufungwa
Baada ya kufungwa
Like our facebook pages Swahili World Planet Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
makubwa!!!na tunasubiri mtujuze sio mkae kimya
ReplyDeleteusijali tunafuatilia na tutawaletea kilichotokea
Delete