Jackline Wolper na Wema Sepetu wote ni mastaa wakubwa Swahili movies na pia walishawahi kuigiza filamu pamoja kama vile Red Valentine na Family Tears wakiwa na marehemu Steven Kanumba. Wote wameigiza filamu mbalimbali nyingine, baadhi ya filamu za Wolper ni Dereva Tax, Mahaba Niue, Ndoa yangu na Surprise huku baadhi ya filamu nyingine za Wema zikiwa ni Dj Ben, It was Not Me, White Maria na Crazy Tenant. Wolper na Wema wote ni wazuri, warembo na wapenda fashions. Lakini ukiachilia mbali umaarufu wao na wingi wa filamu walizoigiza unadhani nani ni mkali zaidi kwa uzuri, urembo, fashions kwa ujumla na pia nani mkali katika kuigiza? Angalia picha zao hapo chini halafu toa maoni yako.................
Jackline Wolper
Wema Sepetu
Jackline Wolper
Wema Sepetu
Jackline Wolper
Wema Sepetu
Jackline Wopler
Wema Sepetu
Like our facebook page
Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies' latest news, gossip,
celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood
news
Wemaaaa halafu wewe kaka hivi huoni kama umeshindanisha mfu na aliye hai? Wema zaidi huyo mwingine ni kichefuchefu kwanza pritendee mkubwa haishi maisha halisi. Wema wema wemaaaa ndio zaid. Samira
ReplyDeleteWema Sepetu
ReplyDeleteWema
ReplyDeleteWema ana uzuri gani zaidi ya kujichubua na skendo kutwaaaa! wolper wolper wolperrrrrrrrrrrrrrrr
ReplyDeleteWewe utakuwa mbululaaaa nikueleweshe kidogo zipo dvd za muda kidogo wakati huyo wolper wako anaanza kuuza sura mimi nasema kuuza sura kwa sababu kazi zake nyingi anavurunda sasa angalie zile halafu uniambie kama na yeye hajaongezea mchubuo acha mdomo kwani huyo Wolper hana scandal? Juzi juzi tu kapigwa mtungo tena nashangaa global eti wanafichq jina ana scandal kibao hapo alipo kutwa anaongozana na dada 1 hivi mweusi wanasagana masaa 24 hakuna msanii mchafu kama wolper for your information hafai, pretender, muongo wasanii kibao haivi nao na tunaona anavyogombana na wenzie kila siku. Samira nimekupenda sana njoo Diana boutique mikocheni nitakupa zawadi yako wewe mbululaaa dont talk about wema utachekwa. Wema she real haigizi maisha yake. Huyo unaemuona zaidi hana hata saloon. Ukitaka kumjua nenda pale kinondoni kwa Joan utapata habari yake. Wolper she is fake fake fake
ReplyDeleteWema wema wema HV kuna msanii gan was bongo asojichubua au ni chuki zenu Kwa wema bad kaeni mkijua wema wema Mara mia nane
DeleteWolper knows how to act and she is cute more than wema, kinachomfanya wema awe juu ni skendos na kazi mpya za filamu hana sokoni, kila siku ni kuweka mapicha tu mitandaoni. Wolper juu
ReplyDeleteNyie mnangalia umaarufu wa wema wakati kikazi kapitwa na Wolper, wema hata hatumiki sana kwenye filamu ye yupo busy na skendo na kuweka mijipicha inayomshushia heshima mitandaoni, Wolper ni zaidi wema mkorogoooooooooooo
ReplyDeleteWolper Gambe
ReplyDeleteWema juu. scandal wolper hana eti?
ReplyDeleteSepetu's
ReplyDeleteWema ni namba rimoko huyu muuza vitu vya promosheni bado hajui jiji wala mji she is like digidigi.
ReplyDeleteWolper mkali wa acting, wema hawezi fika mbali sababu ya mkorogo na hilo hata Omotola alilijua sana ndiyo maana akamtosa kufanya nae movie mpaka leo. wolper kiasili ni mweupe na mzuri. mwamshabikia wema bila kuangalia kazi za filamu , wolper gambe noma
ReplyDeleteWolper has acting prowess more than wema acheni ushabiki mkorogo umemharibu wema akiwa bado binti mdogoooo
ReplyDeleteI like Wema bt Wolper is more cute na kamzidi wema kwa talent hilo halina mjadala wandugu
ReplyDeleteWolper mtoto mzuri sana wema ni changu anapenda sana kuandikwa magazetini kwa uchafu halafu eti ana meneja pyutuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteWote lakini kwangu Wolper zaidi mtoto jicho jic
ReplyDeleteJackie mzuri wa asili na fashion nying zamkubali hata akiwa na upara mtoto tisha sana wema kawaida sana sema kazaliwa na nyota ya kupendwa
ReplyDeleteWema ni zaidi ila aliendesha maisha yake vibaya tu. Wolper ni mbabaishaji tuambaye pia ni malaya kama wenzake wote kwani yeye ndiye alieyanza kabisa kuraruriwa na Diamond kwenye vigest vya uswahilini kabla hata hajawa superstar. Zile pesa za msimu za Dallas ndizo zilimsaidia sana Wolper kunyanyuka. Halafu mtu mmoja anaulizia Wolper kutoandikwa na global; nadhani hajui kuwa pale Global Wolper keshawagawia uroda wahariri wake karibu wote ili wasiwe wanamwandika.
ReplyDeleteWema no 1
ReplyDeleteSepetunga mkorogo unawahusu nini? Wema hapo huyo mchaga anashepu ya kabati
ReplyDeleteWema sepetu
ReplyDeleteWema zaidi. Alex
ReplyDeleteMadame zaidi WEMA SEPETU
ReplyDeleteWemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteWemaaaa noma
ReplyDeletewote ni cute kila mmoja yupo unique bhana big up wema and my sic Jackie nawaluv xanaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletejackline wolper penda sana ww uko vizur no one like you wema so kitu anamuonekano kama ww
ReplyDelete