Leo ni birthday ya model maarufu wa kiume nchini Daxx Hans ambaye anafanya kazi zake S.Africa. Katika siku yake ya kuzaliwa Daxx ameuonyesha vizuri mkoko(gari) wake wa rangi nyekundu ambao umetokana na kazi zake za mitindo na si huo tu bali ana mwingine. Daxx pia anaonekana kuwa inspiration kwa models wengi chipukizi wa kiume nchini. Angalia picha chini hapo...............
Happy birthday Daxx
Like our facebook page
Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies' latest news, gossip,
celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood
news
No comments:
Post a Comment