Filamu inaitwa Kwanini Nisimuoe waigizaji wakiwa ni Lucy Komba na Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa Irene Uwoya. Filamu hii imeanza kupata promo ya kutosha kwa mitandao na magazeti kuiandika sana baada ya Irene Uwoya kudai Lucy Komba atakuwa anamzunguka mumewe na kutaka kuibomoa ndoa yake. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika filamu hiyo....................
and behind the scenes with Tanzanian famous designer Gymkhana Hilal of Paka Wear brand
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
Lucy hongera mchukue jumla. Samira
ReplyDelete