Pages

Wednesday, July 31, 2013

EXCLUSIVE: NANDO KUHOJIWA XXL YA CLOUDS FM MUDA MCHACHE UJAO KUANZIA SASA.

Nando ambaye alikuwa mshiriki wa Big Brother Africa(The Chase) akiwaakilisha Tanzania kabla ya kutolewa baada ya kugombana na mshiriki mwenzake Elikem tayari yupo nchini na hivi tunavyosema yupo Clouds fm muda si mrefu atahojiwa na Adam Mchomvu katika kipindi cha XXL. Chanzo makini kimeiambia Swahiliworldplanet "Hello! get ready to hear Nando's interview at XXL Clouds fm soon with Baba Jonnie, nitakuwepo nami pia" kilisema chanzo hicho. Inaelekea Nando atafunguka mengi ikiwemo kutolewa kwake wakati wengi walikuwa na matarajio angeingia final na hata kunyakuwa kitita cha dollars.

Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies' latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment