P-Funk Majani ambaye ni mmoja wa maproducer wenye mchango mkubwa katika Bongofleva ameandika kwenye twitter kumsapoti na kukubali alichosema Lady Jadydee kuhusu vita yake na Clouds fm. Majani amesema kuwa kama wasanii wote na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazuia katika harakati zao hizo isipokuwa mungu pekee. aliandika "@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!".
No comments:
Post a Comment