Actress Salma Jabu( Nisha) amehamia katika nyumba ya gharama na yenye samani za gharama pia maeneo ya Kijitonyama. Mtandao wa Globalpublishers umeripoti kuwa Nisha mwenyewe amesema kuwa ni juhudi zake za kazi na filamu zake 4 alizotengeneza mwaka jana ndiyo zimempa matunda hayo huku wengine tayari wakidai kuwa amehongwa na pedeshee. Nyumba hiyo ina mazagazaga kibao ya gharama zikiwemo Tv mpaka chooni. jioneee..............
ili kusoma vizuri habari hii ingia hapa www.globalpublishers.info
No comments:
Post a Comment