Pages

Friday, May 10, 2013

LULU'S LATEST PHOTOS, MPASUO WA GAUNI LAKE WAZUA MASWALI.

Actress Elizabeth Michael(Lulu) has decided to share her latest photos and look akiwa katika gauni refu lenye high slit ambapo baadhi ya fans wake wameuliza kuhusu huo mpasuo wa kujichana sana huku pozi zake ndiyo zikiwa utata. Katika picha pia anaonekana na muigizaji mwenzake Muhsin Awadhi(Dr. Cheni). Kwasasa inadaiwa Lulu yupo location kwa ajili ya ujio wa filamu yake mpya. Anything to say about her look?

No comments:

Post a Comment