Saturday, April 6, 2013

WEMA SEPETU AAWALIKA ACTORS WENZAKE KUPATA LUNCH NYUMBANI KWAKE NA YEYE MWENYEWE KUINGIA JIKONI KUWAPIKIA.

Aliyekuambia actress Wema Sepetu hajui kupika  anachojua ni kujikwatua pekee basi kakudanganya. Today the former Miss Tanzania aliwaalika actors wenzake katika chakula cha mchana nyumbani kwake kijitonyama na yeye mwenyewe pia kuamua kuingia jikoni ili kudhihirisha anayajua mapishi kwa sana, na baada ya kumaliza kupika alijikwatua kama kawa na kujumuika mezani. Actors like Jacob Stephen(JB), Irene Uwoya, Shamsa Ford, Vicent Kigosi(Ray), Mayasa Mrisho na wengineo walikuwepo kujikoki msosi wa maana. Angalia photos..................

                                                           images by bestizzo no1 blogger

No comments:

Post a Comment