Saturday, April 6, 2013

HEMED AWAKA NA VAZI LA KIAFRIKA KATIKA SHOW YA PREZZO MAISHA CLUB.

Actor and Bongofleva singer Hemed Suleiman jana aliamua kutinga vazi lenye asili ya kiafrika  na kupendeza vilivyo tofauti na alivyozoeleka kwa fashion zake za koti, kizibao na jeans. ilikuwa Maisha Club katika show ya Prezzo na Hemedi pia alipanda jukwaani kuimba. Hongera  Hemed and tunatarajia kukuona tena katika mavazi ya kiafrika hasa ya wabunifu wa Tanzania.

For more photos za show please visit www.millardayo.com

No comments:

Post a Comment