Thursday, April 4, 2013

STAR STYLE: SHILOLE IN WRONG HAIR COLOR.

Pengine angeweka rangi nyingine inayoendana na rangi ya ngozi yake style hiyo ingemtoa vizuri lakini rangi aliyoichagua shilole katika style yake mpya ya nywele ambayo anaonekana nayo sehemu mbalimbali siku za hivi karibuni haikumtoa kabisa. rangi hiyo inaitwa tangerine tango/redish orange ambayo mara nyingi ameshidwa kui-control na rangi nyingine za nguo anazovaa pamoja na accessories anapokuwa katika mitoko na kupigwa picha na mapaparazi, hivyo hata anapofanya color blocking kukosa mvuto au kuwa katika wakati mgumu kupata best choice. Nywele zake amezisokota kwa juu na pembeni kuzisuka then kuweka rangi hiyo kwa juu. She is famous actress and singer. Look at her new hairstyle...............


No comments:

Post a Comment