Thursday, April 4, 2013

RIYAMA ALLY: FANS WANGU NITAPUNGUZA UZITO SOON, NILINENEPA SABABU YA UJAUZITO NA KUJIFUNGUA.

Actress Riyama Ally who is one of finest actresses in Swahiliood has been criticised by her fans kwa kujiachia kunenepa sana na kusema amekosa mvuto na umbo lake la sasa tofauti na zamani alipokuwa na mwili wa kawaida ambao ulimtoa vizuri. Hata hivyo mashabiki wake wengi hawajui kuwa Riyama alinenepa kutokana na ujauzito aliokuwa nao na tangu ajifungue kwa upasuaji ni miezi sita sasa. Riyama who gave great performance in her latest release "The Dream" when asked by Swahiliworldplanet kuhusu kuongezeka uzito kiasi cha mashabiki wake kumlaumu bila hiyana Riyama alisema "kuhusu unene nimejifungua kwa upasuaji, pia kubwa kuliko yote mtoto wangu anahitaji maziwa ya mama hivyo napaswa kula kwa wingi ili mtoto apate maziwa kwa wingi coz ziwa la mama ni muhimu kwa mtt, nitakapomuachisha naahidi kupungua"

Riyama asiyependa makuu alisema pia mashabiki wake ni muhimu sana na maoni yao kwake ni mafanikio tosha kwake so siyo kuhusu unene tu hata jingine wamjenge "sio hilo la unene tu hata na jingine wanijenge wao ndio kioo changu, nawapenda sana bila ya wao cwez kua mimi".

Mtoto wa Riyama anaitwa Mboza au Fatma, Riyama amesema mungu akimjaalia mwanae akikua angependa awe na elimu ya kutosha hata kama ataamua kuwa actress kama yeye but sharti apate elimu nzuri kwanza.

                                                                 Riyama Ally

No comments:

Post a Comment