Pages

Tuesday, April 23, 2013

SCORPION GIRLS KUWASHA MOTO LINDI JUMAMOSI HII.

Scorpion girls kundi la muziki wa kizazi kipya linaloundwa na kinadada machachari ambao pia ni waigizaji wa films litakuwa Lindi jumamosi hii ya tarehe 27 kufanya show katika ukumbi wa Bwalo la Polisi huku kiingilio kikiwa sh. 5000/=. Kundi hilo ambalo limetoa wimbo mpya hivi karibuni uitwao "Nchi Yetu" linaundwa na Isabela Mpanda, Jackline Pentezel(Jack wa chuzi) na Jini Kabula. pia Baby Madaha na Luteni Karama kutoka Gangwe Mob watakuwepo kutoa burudani. Huu sio usiku wa kukosakwa fans wa Lindi

                                         Scorpion girls wakifanya vitu vyao jukwaani.

No comments:

Post a Comment