Pages

Monday, April 22, 2013

LULU ROCKS NEW HAIRSTYLE, AONEKANA KAMA MTOTO WA MIAKA 12 BADALA YA MIAKA 18 ALIYONAYO.

Celebrities siku zote ni watu wa kubadilika katika fashions zao zikiwemo za nywele, kwa sasa mastaa wa Tanzania wanatengeneza sana news na fashions zao kiasi cha kuanza kuwasahau kuwapa kipaumbele mastaa wa nje kama kina Beyonce na Kim Kardashian. bali mastaa wetu wana kila kitu na tuna kila kitu cha kujivunia kutoka kwao. Lulu hayupo nyuma katika kutengeneza news. Now yupo na style mpya ya nywele ambayo ni ya kiafrika zaidi. Hata hivyo pichani actress huyo mwenye makeke mengi anaonekana kuwa mdogo pengine kwa kuwa hajajikwatua kama kawaida yake. Wiki iliyopita ndiyo alisheherekea miaka 18 tangu azaliwe but hapo kama ana miaka 12-14. Look at her latest hairstyle.....................



No comments:

Post a Comment