Pages

Monday, April 22, 2013

LULU AINGIA LOCATION TENA KUANZA KUFANYA VITU VYAKE.

Actress Elizabeth Michael(Lulu) anaonekana tayari yupo location akifanya films baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na misukosuko ya hapa na pale iliyomkumba. Kupitia instagram Lulu ameweka picha akiwa location na Hashim Kambi na kuandika maneno haya "take 1 action, mic location, me doing ma thing". Ujio wa Lulu unasubiriwa kwa hamu sana because she is hot on screen and she has been missed alot by her fans. Hata hivyo haijajulikana bado jina la film hiyo ni lipi.


No comments:

Post a Comment