Pages

Monday, April 15, 2013

KAJALA AMNASA KIMAPENZI MFANYAKAZI WA WEMA SEPETU !

Latest buzz is that actress Kajala Masanja anatoka Kimapenzi na Petitman ambaye ni employee wa Wema Sepetu katika kampuni yake ya Endless Fame Production ambayo hivi karibuni ilimsainisha Kajala kucheza filamu ya Princess Sasha. Latest photos zinawaonyesha wawili hao wakiwa kimahaba zaidi ingawa inadaiwa kuwa walianza penzi kabla kajala hajaenda segerea but kwa sasa wawili hao wanadaiwa kuwa wazi zaidi. Swali ni je Wema na Kajala kama mashostito wakubwa hawatatibuana kweli huko mbeleni kama mapenzi ya kajala na Petitiman yakikolea ofisini kwa Wema na Wema kuamua kumyeyusha mmojawapo!. Kwa upande mwingine if it is true the two are an item we wish them all the best because Kajala alikuwa mpweke sana segerea so huu ni muda wake..................


No comments:

Post a Comment