Saturday, April 6, 2013

HIZI NDIYO SABABU ZA MVUTO ALIONAO ACTRESS YOBNESH YUSUPH(BATULI).

Currently huwezi ukataja majina ya actresses wa Swahiliwood wanaofanya vizuri na ukalisahau jina la actress mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph(Batuli). She is one of the most sexiest actresses in the industry. Swahiliworldplanet ilipomuuliza nini siri ya mvuto alionao kiasi cha kuwafunika waigizaji wenzake wengi wa kike ambao baadhi wamenenepa sana kiasi cha kupoteza mvuto wao wa awali, the screen goddess alisema " Siri ya urembo wng kwanza mazoezi ya mwili yakiambatana na mpangilio wa vyakula pili sifanyi starehe kila siku najipa muda wa kupumzika, tatu sio mnywaji wa pombe wa kila siku naweza kuonja mara 1 ndani ya miezi 3 au zaidi tena nikionja huwa ni gyn glass 2 au wine glass 2."

The talented actress pia alisema hapendi kuendekeza starehe kwa kuruhusu mwili wake uchezewe hovyo kwa kubadilisha mabwana kama nguo kwa kuwa anajiheshimu sana "Kubwa kuliko ni kwamba situmiki ovyo I mean sibadilishi wanaume kama nguo. Najipenda na kujiheshimu ndio siri ya kuwa mrembo always"

The actress rose to fame after she starred in the movie Fake Smile opposite the late Steven Kanumba and her latest releases include Fungate and Waves of Sorrow opposite Vicent Kigosi(Ray) and Rose Ndauka in the supporting role. Look at her latest look..................




No comments:

Post a Comment