Saturday, April 6, 2013

AMANDA POSHY NA AUNT EZEKIEL NDANI FILAMU MPYA YA THE LOST FUTURE.

Amanda and Aunt Ezekiel are coming together katika film ya THE LOST FUTURE  which also stars Hashim Kambi, Mlawa, Haji Adam(Baba Haji) and Dotnata. Amanda ndiye mhusika mkuu katika filamu hiyo yenye uwezekano wa kutoka mwezi ujao. Kaa mkao wa kula kwa ajili ya movie hiyo.



                       

No comments:

Post a Comment