Monday, April 8, 2013

HAYA NDIO YALIYOAJIRI KATIKA KUMBUKUMBU YA KANUMBA MWAKA MMOJA BAADA YA KIFO CHAKE.

Jana ilikuwa siku ya kumuenzi kanumba muigizaji aliyetoa mchango mkubwa kwa tasnia ya filamu kukubalika haraka nchini Tanzania. wasanii mbalimbali na wananchi wa kawaida walihudhuria kwa wingi kuonyesha ni jinsi gani Kanumba alikuwa anapendwa na wengi. Familia yake jana ilitoa tuzo kwa watu mbalimbali. Angalia picha hizo............

                                                            Stanley Msungu
                                                                Mayasa Mrisho
                                                  Mama Kanumba akimpa tuzo Millard
                                         Ray na Zamaradi Mketema
Rais wa TAFF Saimon Mwakifwamba na mama Kanumba
Salama Salmin(Sandra), Cathy Rupia and Mayasa Mrisho
                                                            Jackline Wolper
For more photos please visit www.bongo5.com


No comments:

Post a Comment