Monday, April 1, 2013

FANS WAMKUBALI NATURE KUWA MFALME WA TEMEKE, AWATUPA TEMBA NA CHEGE.

Jana katika ukumbi wa DarLive kulikuwa na mpambano wa NANI ZAIDI wa makundi mawili ya muziki wa kizazi kipya. Wanaume halisi chini ya Juma Nature na Wanaume Family chini ya Temba na Chege. Katika mpambano huo uliokuwa mkali mashabiki walimkubali zaidi Nature kuwa mfalme wao. Jionee mwenyewe

                                                             Temba na Chege
Kuangalia picha zaidi please ingia hapa www.globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment