Pages

Tuesday, March 19, 2013

WEMA SEPETU KUTUMIA NYUMBA NA GARI LAKE HALISI FOR HER UPCOMING MOVIE.

Actress Wema Sepetu atatumia her own house and one of her cars kwa ajili ya film yake mpya ambayo yeye ndiyo producer. In the film her character will be Doris jina ambalo ameliweka katika gari hilo kwa ajili ya shooting ya film hiyo. Angalia picha hizo zilizopigwa na Milardyayo.com

                                 sebuleni kwa Wema ndani ya movie hiyo

No comments:

Post a Comment