Pages

Tuesday, March 19, 2013

IRENE UWOYA KUSAKA VIPAJI VIPYA ZAIDI YA 30 FOR HER UPCOMING MOVIE.

Swahiliwood sexy actress Irene Uwoya who gained fame few years back after she portrayed the title role in the hit movie Oprah(Hot sunday) has announced that she is looking for new actors zaidi ya 30 from Morogoro and Dodoma to act with them in her upcoming film ambayo hakuitaja jina bado so acting talents za pande hizo zijiandae kwa ajili ya issue hiyo, amesema filamu hiyo itakuwa ya kihistoria katika films za swahiliwood. Kuhusu lini usaili utafanyika na wapi Uwoya alisema ndIo anakamilisha mipango ya mwisho na ataeleza soon kwenye media. Filamu hiyo itakuwa sokoni mwishoni mwa mwezi wa sita au mwanzoni mwa mwezi wa saba.

Akizungumza na mtandao wa Bongo movie Uwoya revealed that her role in the film will be a village girl and she is coming differently this time contrary to many of her movies ambazo amecheza kama mwanamke kutoka familia zinazojiweza. "watu wamezoea kumuona Irene akiigiza ndani ya nyumba nzuri na magari mazuri kila siku, hawajui kama Irene huyu huyu anaweza kufanya movie kama mtu wa kijijini sana asiyejua hata matumizi ya simu ni nini".
 It will be the first film to be produced by Irene who has acted in many movies including My Dreams, Last Card, Sobbing Sound,Offside  and she has many fans in countries like Rwanda, Congo and Burundi. 

                 Hongera sana Uwoya kwa kukumbuka vipaji vipya

No comments:

Post a Comment