Wednesday, March 20, 2013

TANZANIAN MODEL BENSON KWEMBE BADO ANAJIPANGA FRESH.

Tanzanian model Benson kwembe who is Swahili Fashion week 2012-2013 best male model of the year amesema kuwa bado hajajipanga kufanya issue zake za modelling nje because bado haja-set network amesema life yake haitegemei sana modelling but he is supporting the industry and will always do. "kwa sasa cjapata fikra hiyo nadhani ni vile network cjaset hivyo, my life haijabase sana kwenye fashion bro but am supportin and always will..". Benson mmoja wa models wanaojulikana na kukubalika  in the Tanzanian fashion industry  na ambaye pia ameshatokea kwenye matangazo ya baadhi ya kampuni kubwa alipoulizwa na SWP kuwa alijisikiaje kuwa Swahili Fashion Week 2012 best male model of the year, alisema "nlijiskia furaha kuwa best last year coz nlifurahi kuona watu wana appriciate na kutambua kazi nnayofanya"
If Benson is to be discovered today and be signed by big modelling agency in New York, London or Paris no doubt that the current male supermodels including Tyson Beckford will get cold feet since Ben has what it takes to shake the fashion world.
We wish him best of lucky. look at Ben on the runway below..........


No comments:

Post a Comment