Pages

Thursday, March 28, 2013

SINTAH NA MANGE KIMAMBI WASHUSHIANA MATUSI MAKALI.

Mastaa siku zote ni watu wenye vituko. Hivi sasa kunaonekana kuwa na bifu zito kati ya Sintah na Mange Kimambi ambapo wamefikia hatua ya kutukanana matusi ya nguoni ambayo hayaandikiki na pia watu hao kuonekana kujishushia heshima zao mbele ya jamii. Mange ameonekana kuandika yaliyo moyoni mwake ili kumfikishia ujumbe Sintah na Sintah ku-post ujumbe huo katika blog yake halafu akamjibu kwa maneno makali zaidi.. Ushauri wetu ni kuwa kina dada hawa wote wawili kama watu maarufu na watu wazima ambao wanatakiwa kuwa kioo cha jamii wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na sio kuendelea kujishushia heshima waziwazi mbele ya  jamii maana haiwasaidii hata kidogo.

Ili kusoma nini Mange na Sinta wameandika soma hapa www.sintah.com


No comments:

Post a Comment