Pages

Saturday, March 16, 2013

RAYUU KUJITOSA KWENYE SIASA.

Habari ni kuwa Rayuu muigizaji wa Swahiliwood ana mpango wa kujitosa kwenye siasa kitu ambacho wengi hawajawahi kukifikiria kwa actress huyo who started her acting career katika kundi la Kaole Sanaa Group. Pia mtandao wa Baabkubwa uliandika kuhusu issue hiyo ya muigizaji huyo aliyejaaliwa mvuto wa maana. Swahiliworldplanet ilipomtafuta Rayuu na kumuuliza about kuingia kwenye politics kwanza aliangua kicheko then akauliza umejuaje na baada ya kumueleza nje ndani the bombshell actress said "ndoto zangu ni hizo lkn bado c kwa 2015!'. Hata hivyo we failed to know kama anataka awe mbunge au diwani na kupitia chama gani.
Hongera Rayuu kama ndiyo ndoto zako hakuna kinachoshindikana kikubwa ni kujipanga sawa sawa.


No comments:

Post a Comment