Pages

Saturday, March 16, 2013

LULU AANDIKA UJUMBE KUHUSU KANUMBA KWA MARA YA KWANZA.

Swahiliwood A-list actress Elizabeth Michael(Lulu) for the first time ameandika ujumbe kuhusu muigizaji mwenzake Steven Kanumba aliyefariki April mwaka jana. Lulu ameandika ujumbe huo leo katika ukurasa wake wa twitter akisema "Ulikuwa zaidi ya baba, kaka,mpenzi, mume,ndugu, rafiki........sitoacha kukulilia katika maisha yangu yote! R.I.P daddy angu STEVEN KANUMBA". also aliweka picha ya Kanumba sambamba na ujumbe huo. Hivi karibuni Lulu amekuwa active katika akaunti yake ya twitter huku mashabiki wake wakiwa wanataka arudi kwenye filamu haraka na waandaji pia wakiwa wanafanya juu chini ili awe katika films zao, but Lulu recently alikaririwa na mtandao mmoja akisema now anapanga issue zake za kurudi shule kwanza na kuhusu filamu atafanya press conference na kuweka wazi kuhusu hilo.

you can follow her on twitter Elizabeth Michael @hotlulumichael

1 comment:

  1. lulu kweli ukikumbuka yaliyopita huwezi hata kukumbuka kwajili yahayo yalio kupata lulu nakusikiliya huma sana lulu nendeni shule basi ukajifiche huko lulu
    .

    ReplyDelete