Pages

Thursday, March 21, 2013

NEW MODELLING AGENCY IN TOWN.

Tanzanian Model Wancy Nells Emma mwanzoni mwa mwaka huu alifungua Modelling agency yake PACA(pakiteng africa casting agency)lengo likiwa kuwasapoti wanamitindo wanaochipukia na designers wa Tanzania kwa ujumla. Agency hiyo inafanya training kwa models na pia kuandaa fashion shows mbili kila mwezi ambazo ni Generation X inayofanyika Belinda beach resort and Traffick Light Party ambayo hufanyika pia kila mwezi at Maisha Club. The agency inapokea models wa aina zote kama vile Runway models, Photo shoot models and models wa matangazo mbalimbali. Ofisi zao zipo Mwananyamala Komakoma biashara Complex.
Kama wewe ni model na ungependa kujiunga na PACA contact Wancy here +255655999331

                                 Wancy akiwa jukwaani akifanya vitu vyake.


No comments:

Post a Comment