Pages

Thursday, March 21, 2013

HAPPY BIRTHDAY NURU NASORO(NORA).

 Tanzanian actress Nuru Nasoro( Nora) anasherehekea her birthday. Tunamtakia maisha marefu na mafanikio katika kazi zake zikiwemo kazi zake za filamu. Nora ni mmoja wa actors wachache wenye vipaji vya kweli na mvuto on screen and she inspired many actresses wanaotamba today since alipokuwa na kundi la kaole alikuwa moto wa kuotea mbali. Mungu akupe maisha marefu Nuru Nasoro.  Some of her films include Msimamo Wangu and Sikitiko langu. Licha ya kuwa hajatokea katika films nyingi bado Mchango wake katika tasnia ya filamu na maigizo nchini hauwezi kusahaulika kamwe.



No comments:

Post a Comment