Wednesday, March 27, 2013

NAY WA MITEGO FLAUNTS HIS SIX PACK.

Tanzanian hip hop artist Nay wa Mitego juzi kati wakati akiwa katika mishe mishe za ku-shoot cover la wimbo wake mpya(Muziki gani) aliomshirikisha Diamond, Nay aliamua kuonyesha kifua chake kilichojengeka vizuri kimazoezi wengine huita six pack, inasemekana wanaume wenye miili ya kimazoezi huwavutia zaidi ladies so Nay anayetamba kwa sasa katika Bongofleva aliamua kuonyesha hizi six pack. mcheki jamaa.

Photos zake nyingine alizopiga wakati akishoot cover hilo.
                     for more photos visit www.this is diamond.com

No comments:

Post a Comment