Wednesday, March 27, 2013

KUWA MAKINI HII NI MOJA YA AKAUNTI FAKE ZA WEMA SEPETU. AKAUNTI YAKE HALISI NI HII HAPA.

Hii ni moja ya account nyingi fake za actress Wema Sepetu hivyo mwenyewe leo amewatahadharisha watu kuwa siyo yeye. akaunti hiyo inaonekana kuwa na watu wengi wakidhani ni Wema halisi wakati siye. Angalia akaunti yake halisi hapo chini na page yake tumekuwekea kama wewe ni shabiki wake.

This is Fake account be aware/chukua tahadhari
Hii hapa ndio akaunti yake halisi/ this is Wema Sepetu's real account Wema Abraham Sepetu
Hii ni fan page yake/This is Wema's fan page if you love her LIKE it Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment