Pages

Thursday, March 14, 2013

LULU AANZA MAKEKE YAKE

Actress mwenye jina kubwa  Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) ameanza kuwa active katika social media ikiwemo twitter na kuandika na hata ku-share picha ili mashabiki wake waone. The sexy and talented actress ambaye amecheza films kibao kama Oxygen, Woman of Principal, House Boy, Tattoo, Family Disaster ame-share picha zake akiwa na best yake. Inawezekana tayari Lulu ameshapata film offer so ameamua kujitokeza rasmi ili mashabiki wake waliom-miss wajue anakuja. Angalia picha hizo Lulu amezidi kuwa mrembo huku akionekana kama amemis kula bata.






No comments:

Post a Comment