Pages

Sunday, March 17, 2013

BOB JUNIOR'S LATEST HAIRSTYLE IS BLOND.

Tanzanian famous singer Bob Junior has come out with new hairstyle iliyomtoa vilivyo. nywele zake amezinyoa pembeni na juu kubaki ndefu kidogo then kuweka blond color hivyo kuendana na kazi zake za muziki na pia kutokuchosha machoni pa mashabiki kwa kuwa mastaa hasa kutoka kwenye entertainment industry wanatakiwa kuwa na muonekano mpya mara kwa mara. Keshokutwa tarehe 19 Bob Junior atasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mwanamuziki huyo kwa sasa yupo katika tour ndefu ya kimuziki barani Ulaya na tarehe 29 mwezi huu atakuwa na show nchini Denmark. Angalia style yake mpya ya nywele........



1 comment: