Sunday, January 20, 2013
MUIGIZAJI MAARUFU JACK APPIAH APATA PENZI JIPYA
Muigizaji maarufu barani Afrika kutoka Ghana na mwenye tuzo kibao as the best actress Jack Appiah anasemekana kula bata na muigizaji mwenzake kutoka Nollywood Bobby Obodo. Jack anayedaiwa kutengana na mume wake wiki za hivi karibuni ameonekana kuwa karibu sana na Bobby na kudaiwa wanatafuna mahaba kimya kimya lakini mwenyewe bado hajaliweka kweupe ili mashabiki wake wajue.............
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment